Nenda kwa yaliyomo

My Love (filamu ya 1970)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

My Love ni filamu ya kimapenzi ya 1970 ya lugha ya Kihindi iliyoongozwa na S. Sukhdev. Filamu hiyo imeigizwa na Shashi Kapoor na Sharmila Tagore. Hii ilikuwa ni filamu ya kwanza ya Uhindi iliyoigizwa nchini Kenya na Tanzania[1].

Hadithi hii inahusu maisha ya mwanamuziki Raj Kumar Rai anayeishi Nairobi. Anakutana na Sangeeta kwenye sherehe na anampenda. Wakati huohuo, Rani Mehta naye anampenda Raj Kumar.[2]

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]
  • Shashi Kapoor as Raj Kumar Rai
  • Sharmila Tagore as Sangeeta Thakur
  • Nirupa Roy as Durga
  • Madan Puri as Pran Mehra
  • Rajendra Nath as Tom Genda
  • Azra as Rani Mehta
  • Laxmi Chhaya as Laxmi
  • Raj Mehra as Mr. Mehta
  • Jayant as Mr. Rai
  • Iftekhar as Doctor
  • Sulochana Chatterjee as Sangeeta's Mother
  • Manorama as Tom's Mother
  • Pinchoo Kapoor as Tom's Father

Nyimbo za filamu

[hariri | hariri chanzo]

Maneno ya nyimbo zote yaliandikwa na Anand Bakshi.

Song Singer
"Woh Tere Pyar Ka Gham" Mukesh
"Zikr Hota Hai Jab Qayamat Ka" Mukesh
"Tum Mera Pyar Ho, My Love" Mohammed Rafi
"Sunate Hai Sitare" (Happy) Asha Bhosle
"Sunate Hai Sitare" (Sad) Asha Bhosle
"Bheegi Bheegi Raat Mein" Asha Bhosle
"Guzar Gaye Jo Haseen" Asha Bhosle

Mapokezi

[hariri | hariri chanzo]

Mkaguzi wa gazeti la The Indian Express aliita filamu hiyo ‘kazi ya uvuguvugu, isiyo na uhai, ambayo haingeweza kuokolewa hata na uchezaji bora wa Shashi Kapoor'[3]

  1. Fuko Uchi. "Memorabilia of Foreign Theatrical Movies Filmed In The East Africa Region (1931–1975) – AwaaZ Magazine" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-08-22.
  2. "My Love Movie Trailer, Star Cast, Release Date, Box Office, Movie Review | My Love Movie budget and Collection | My Love". www.indianfilmhistory.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-08-22.
  3. "The Indian Express - Google News Archive Search". news.google.com. Iliwekwa mnamo 2025-08-22.