Mwonekano picha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwonekano picha (kwa Kiingereza: image resolution) ni kiwango cha usahihi cha picha.

Mwonekano picha mbalimbali.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).