Nenda kwa yaliyomo

Mwaka wa Kimataifa wa Wanawake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwaka wa Kimataifa wa Wanawake (kwa Kiingereza International Women's Year) ulianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1975, ukisherehekea 8 Machi, Siku ya Wanawake Duniani.[1]

  1. "International Women's Day". UN.org. United Nations.