Muziki wa Reunion

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendi la Sega huko St Pierre, Reunion.


Muziki wa Reunion unaonyesha athira ya tamaduni mbalimbali zilizokutana kwenye visiwa hivi vya Bahari Hindi. Urithi wa Afrika Bara unasikika hasa katika muziki wa Maloya ulioendeeza urithi wa watumwa Waafrika waliopelekwa hapa.

Katika mtindo wa Sega athira za Afrika zimekutana na zile kutoka Ufaransa maana Réunion ilikuwa koloni na sasa ni mkoa wa ng'ambo wa Ufaransa.

Mitindo mipya ni pamoja na Jazz, Rock, Rap, Reggae, Dancehall na Ragga.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Muziki wa Reunion" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.