Nenda kwa yaliyomo

Musa II wa Mali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Musa II alikuwa mansa wa Dola ya Mali kuanzia mwaka 1374 hadi 1387.

Musa II alichukua kiti cha enzi baada ya kifo cha baba yake, Mansa Mari Diata II. Aliamua kutoendeleza vitendo vya dhuluma vilivyokuwa vinafanywa na baba yake, lakini alitowekwa pembeni na vizier mwenye mamlaka, Mari Djata. Wakati wa enzi yake, mikoa ya mashariki yenye mji mkuu wa Gao ilianza kujitenga kutoka katika dola.[1] Vita na Waberber ili kudhibiti Gao viliharibu mji huo.[2] Hata hivyo, wanajeshi wa Mari Djata walizunguka Takedda (au, kulingana na tafsiri nyingine, Tadmekka) na kuwalazimisha kufikia makubaliano ya amani.

Baada ya kifo chake mwaka 1387, Musa II alichukuliwa nafasi yake na ndugu yake Maghan II.[3]

  1. Gomez, Michael (2018). African dominion : a new history of empire in early and medieval West Africa. Princeton, NJ: Princeton University Press. uk. 151. ISBN 9780691177427.
  2. Saad, Elias N. (14 Julai 1983). Social History of Timbuktu: The Role of Muslim Scholars and Notables 1400-1900 (tol. la Cambridge History of Science Cambridge Studies in Islamic Civilization). Cambridge University Press. ku. 29–30. ISBN 0521246032.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Cuoq, Joseph, mhr. (1985). Recueil des sources arabes concernant l'Afrique occidentale du VIIIeme au XVIeme siècle (Bilād Al-Sūdān). Paris: Éditions du Centre National de la Recherche Scientifique. uk. 350.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Musa II wa Mali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.