Nenda kwa yaliyomo

Muna Obiekwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muna Obiekwe
Amezaliwa 1979
Amekufa 18/01/2015
Nchi Nigeria
Kazi yake Muigizaji

Muna Obiekwe (1979 – 18 Januari 2015) alikuwa mwigizaji wa Nigeria, mmoja wa wale maarufu zaidi nchini. Tarehe 18 Januari 2015, Obiekwe alifariki kutokana na ugonjwa wa figo. Pia alikuwa binamu wa pili wa muigizaji mwenzake wa Nigeria[1] Yul Edochie.

  1. ↑ Helen Ozor (2015-01-19). "Muna Obiekwe: Details Of His Saddening Yet Traumatising Circustances That Led To His Death & How KOK, Patience Ozorkwor Tried To Save Him" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-09-30.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muna Obiekwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.