Nenda kwa yaliyomo

Mullah Omar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mullah Omar (23 Aprili 2013), ambaye jina lake kamili lilikuwa Muhammad Umar Mujahid, alikuwa kiongozi wa kidini na wa wanamgambo kutoka Afghanistan. Anajulikana zaidi kwa kuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan, akiongoza kuanzia mwaka 1996 hadi 2001.[1][2]


  1. Weiner, Tim (7 Desemba 2001). "Man in the News; Seizing the Prophet's Mantle: Muhammad Omar". The New York Times. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Afghan Taliban publish Mullah Omar biography". BBC (kwa Kiingereza). 5 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mullah Omar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.