Nenda kwa yaliyomo

Mukarama Abdulai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mukarama Abdulai (alizaliwa tarehe 16 Oktoba 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kitaalamu kutoka nchini Ghana anayekipiga kama mshambuliaji katika klabu ya mpira ya Hasaacas Ladies F.C, timu ya vijana ya Black Maidens, pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.[1]

  1. "Hasaacas Ladies complete the signing of Mukarama Abdulai".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mukarama Abdulai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.