Muhammad al-Sanusi
Mandhari
Muhammad al-Sanusi (akijulikana pia kama Mohamed Snoussi), (1851-1900) alikuwa msomi, mwandishi, jaji, na mshairi aliyehusishwa na msikiti wa Zaitouna nchini Tunisia, falsafa ya Salafiyya, na enzi ya mageuzi ya kiliberali nchini Tunisia. al-Sanusi alishirikiana na watu mashuhuri wa zama zake kama vile Mohammad Abduh, Khayr al-Din, na Sheikh Mahmud Qabadu. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Masri, Safwan. Tunisia: An Arab Anomaly. New York: Columbia University Press, 2017, 150, 159–160.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muhammad al-Sanusi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |