Muhammad Ismail Zabeeh
Mandhari
Maulana Muhammad Ismail Zabeeh (1913 – 27 Septemba 2001) alikuwa mwandishi, mhubiri (orator), mwanahistoria, na mwanahabari kutoka Pakistan.
Alishiriki kikamilifu katika harakati za kuundwa kwa Pakistan wakati wa utawala wa kikoloni wa British Raj. Pia alikuwa kiongozi wa Majlis-e-Ahrar-ul-Islam.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Profile of Muhammad Ismail Zabeeh on paknetmag.com website Retrieved 30 August 2019
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muhammad Ismail Zabeeh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |