Muhammad IV al-Hadi
Mandhari
Muhammad IV al-Hadi (Kiarabu: محمد الرابع الهادي), anayejulikana pia kama Hédi Bey (Kiarabu: الهادي باي; 24 Juni 1855 katika Le Bardo – 11 Mei 1906 katika Carthage) alikuwa mtoto wa Ali III ibn al-Husayn na alikuwa Bey wa kumi na nne wa Tunisia chini ya nasaba ya Husainid dynasty.[1]
Alitawala Tunisia kuanzia mwaka 1902 hadi alipofariki mwaka 1906.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martin, Jean-François (2003). Histoire de la Tunisie contemporaine: de Ferry à Bourguiba, 1881-1956 (kwa Kifaransa). L'Harmattan. ISBN 978-2-7475-4626-3.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muhammad IV al-Hadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |