Mtumiaji:Yussuf zidjaal
YUSSUF ZIDJAAL
Kuzaliwa
Yussuf mohammed yussuf 15 May 1997 (20)
ZANZIBAR
Jina lengine Sheikh sharif yussuf
Uvamizi Sheikh mtabibu wa dawa za kisunna msomaji Qur-an
Jamaa yassir mohammed yussuf zidjaal
Abubakar mohammed haji (Ndugu mama moja)
Ali hassan ali (ndugu mama moja)
Salim khamis shhafi salim mardhiyyah
Mariam nassor mbaruk (dada wa moja)
Shemsa nassor mbaruk (dada mama moja)
Yussuf mohammed yussuf (Sheikh sharif yussuf) (Kazaliwa 1997), Nikijana aliepewa kipaji na makarama kutoka kwa ALLAH (Subhanahu wataalah) katika kuwasaidia watu wenye shida na matatizo mbali mbali tokea akiwa na umri mdogo zaidi Pia kijana huyo ameanza kutangaza dini ya Uislamu katika umri mdogo wa miaka 6 Mpaka sasa akiendelea na kazi hiyo hiyo
Historia ya matokea ya ajabu yaliyotokea kwa sheikh sharif yussuf(yussuf zidjaal Wakati alipokuwa na umri wa miaka mitatu Sheikh sharif yussuf (yussuf zidjaal) aliwahi kutokezewa na maajabu makubwa na kudhihirika kwa baadhi ya dalili za makarama yake Kama ilivyo desturi ya watu wa Zanzibar huwa na kawaida ya kuwaogesha watoto wao ikifika jioni mida ya saa kumi na moja na kuwaachia wakicheza cheza na watoto wenzao nje Sheikh sharif yussuf siku hiyo hakuwa na mda wa kucheza na watoto wenzake bali alionekana kuwa ananyoosha njia ya kuelekea barabarani ambapo ukikata bara bara unakutana na msikiti unaoitwa masjid istiqama uliokuwepo Zanzibarmtaa unaoitwa muembe ladu, wakati ananyoosha njia ya kuelekea barabarani , ghafla akaonekana anakata barabaraWakati anakata bara bara lipita gari la soda kampuni ya cocacola linakuja kwa kasi na kuweza kumkaribia sheikh yussuf Wakati anakuja kwa kasi watu waliona na kuanza kupiga kelele wakinadi kumwambia yule mwenye gari kuwa (simamisha gari unauwwa)Ghafla ALLAH akaleta nusura yake na mwenye gari kuweza kusimamisha gari chini ya miguu ya sheikh yussuf ni kwa sababu alikuwa mdogo mfupi na gari ni kubwa halikuweza kumuona kwa udogo wakeBasi dereva aliposimamisha gari na kushukua, akaamuuliza mtoto kwa hasira, "unakwenda wapi"Mtoto akajibu AKBAR AKBAR, Akimanisha anakwenda msikitini kusaliJambo ambalo liliwastaajabisha watu wingi kwa tukio hilo na Allah alivyomnusuru mja wake
Sheikh Sharif Yussuf alivyomtibu mama mwenye mimba miaka mitano
Alipofika umri wa miaka 10 alianza rasmi kushirikiana na kaka yake ambaye ni maarufu sana katika kisiwa cha Zanzibar sheikh salim mardhiyyah ambaye nae Allah amempa kipaji kama alichonacho sharif yussuf walikuwa wakifanya dua .....Dar-es-salaam maeneo ya magomeni makuti Siku moja alikuja mama mwenye mimba ya miaka mitano Mama huyo alionana na sheikh sharif yussuf na kumuelezea jinsi gani anavyosumbuka na maradhi yake alisema mimba yake kwanzia mwezi wa kwanza mapaka wa tisa mimba ilikuwa inaonekana vizur, lakini ilipovuka tu mwezi wa kumi mimba ikawa haionekani Akaomba ushauri kwa sheikh nini afanye? sharif yussuf alimuomba akatafute maji kisha aweze kumletea, mama huyo akatii amri ya sheikh alikwenda kutafuta maji kisha sheikh akayasomea maji yale visomo maalum anavyovijua mwenyewe, kisha akamwambia kuwa ukifika nyumbani kwako kunywa haya maji Baada ya mama yule kufika nyumbani kwake na kunywa yale maji, ghafla akapoteza fahamu takriban masaa mawili Alipozinduka mama huyo akahisi choo kikubwa na kuenda chooni kuweza kujisaidia Wakati mama huyo anajisaidia alitokwa na mayai mfano wa mayai ya mbuni katika sehemu zake za siri, pia alitokwa na sindano saba zilizo zungurushiwa nyuzi nyeusi mama huyo akapatwa na mshituko mkubwa na kuweza kumuita mumewe aweze kuona vitu alivyotokwa Mume alivyokuja nae pia akashindwa kuona kitu kile alipatwa na khofu kubwa itabidi awaite majirani wakike waweze kumpatia msaada mke wake Majirani walimsaidia na baadae kuvichukuwa vile vitu na kuvitia katika mfuko siku ya pili kumpelekea sheikh yussuf baada ya sheikh yussuf kuviona vile vitu akafanya dua kwa ajili ya kuvibatilisha sihiri(uchawi) baada ya kutokea hayo sheikh yussuf alimpatia mama huyo ruhusa ya kuweza kuelekea hospitalkwa ajili ya kuenda kutizamia mimba yakebaada ya siku kadhaa mama yule alikwenda hospital na kukutwa na watoto wawili tumboni wakiwa haiIlikuwa ni ajabu sana kwa watoto waliokaa miaka mitano tumboni lakini wakionekana bado niwachanga na pia walitaka kimuonekano wa uchangasiku kadhaa zilipita mama huyo akaweza kujifungua bahati mbaya mtoto mmoja akawa amefarikimama huyo akaenda kumpatia taarifa sheikh yussuf na kuweza kumshukuru Allah Subhanahu wataalah pamoja na kumpa shukrani sheikh sharif yussuf (yussuf zidjaal)HAYO NDO BAADHI YA MATOKEA ALLIYOYAFANYA SHEIKH SHARIF YUSSUF (YUSSUF ZIDJAAL).Pia Allah kamjaalia akikuombea dua kwa tatizo au jambo lako lolote haraka utayaona Majibu