Mtumiaji:Young king

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtumiaji Elia Maingu au Young king alipojiunga na Wikipedia ya Kiswahili ilikuwa mnamo mwaka 2017.

Elia maingu ni mwanafunzi wa shule ya sekondari Alfagems pia anjulikana kwa majina mbalimbali kama vile @Youngkrizz, #Youngking, @kondeboy, #skyd, @J_somehing.

Anajihusisha na maswala ya michezo ukiachana na masomo , ambayo ni michezo ya volleyball, soccer na Handball.

Pia ni mwana falsafa. Na ni mshabiki mkubwa wa Harmonize a.k.a #KONDEBOY.