Mtumiaji:Yosef

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yosef

Yosef[hariri | hariri chanzo]

Karibu:

Mimi naitwa yosef, na ninapenda Kiswahili. Kiswahili kitukuzwe, kweni ni lugha ya Taifa. Kiswahili ni lugha ambayo imesambakaa sana Afrika. Kutoka guba la aden, somalia hadi visiwa via komoro, kuvuka musumbiji, malawi, kongo na uganda. Mzunguko huo waonyesha usambakaa wa kiswahili hata kabla ukoloni ufike Afrika, Miaka karne elfu kadhaa za kuendeleza kiswahili sio mbaya.