Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Wazirisnard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

LEONARD SELEMAN WAZIRI (Wazirisnard):

Amezaliwa Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza katika Hospitali ya Bugando. amezaliwa tarehe 24/08/1990.

Amesoma shule ya Msingi Ng'wakitolyo mkoani Shinyanga, Akajiunga katika shule ya Sekondari Ng'wakitolyo mwaka 2007 nakuhitimu Kidato cha Nne mwaka 2010. Alifaulu na kuchaguliwa kujiunga katika Shule ya Sekondari ya Upili (Advance Level) ya Sengerema kwa mchepuo wa Arts (HKL), Alijiunga mwaka 2011 Na kuhitimu mwaka 2013. Alifaulu na Kujiunga katika Chuo cha Ualimu cha Butimba Mwanza Kusoma Diploma ya Ualimu katika masomo ya English na Physical Education, Baadae alighairi na Kujinga katika Chuo kukuu kishiriki cha Josiah Kibira cha Chuo kikuu Tumaini Makumira kilichopo Bukoba, Tanzania.