Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Tinge Tz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tinge Tz, jina kamili Anaitwa Hamisi Mustafa Tinge, ni mwanamuziki wa bongo flavour na Hip hop nchini Tanzania amezaliwa 29/10/1994 mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji cha kitandi. Anaishi Dar es salaam-Tanzania,ameanza muziki mwaka 2022 na wimbo wake maarufu alioupa jina la mwenye pesa akimshirikisha Balawa Music.