Mtumiaji:SymoXanya/Elimu ya lazima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elimu ya lazima kipindi cha muda katika elimu kinachohitajika kwa watu wote na kinahimizwa na serikali. Elimu hii inaweza kuchukua nafasi kwenye shule zilizosajiliwasoma kwa laziamau mahali popote.

Kuhudhuria shule kwa lazima au kusoma kwa lazima inamaana ya kuwa wazazi wanapaswa kupeleka watoto katika shule fulani.