Mtumiaji:Simion juma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Simion Mwise Juma amezaliwa 1995 sirari,Tarime,Mara nchini Tanzania.Alipata elimu ya msingi Gwitiryo mwaka 2004 hadi 2010 na elimu ya sekendari Inchugu sc school mwaka 2014 hadi,Alifanikiwa kujiunga kilichopo serengeti-mara mwaka 2015 hadi 2017 chuo cha ufundi stadi na kuchukua kozi ya ufundi umeme kwa baadae mwaka 2018 hadi 2019 alijiunga na chuo veta cha kanda ya ziwa mwanza kuchukua kozi ya udereva.