Mtumiaji:Simbaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chifu Longu

Chifu Longu jina lake kamili ni Elifuraha Stefano Gibobati Longu amezaliwa Disemba 04 1991 katika kijiji cha Laghanga wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara. Chifu Longu ni mtoto wa pili kwa baba yake mzee Stefano Gidobati mwenye wake tisa. Chifu Longu amesoma elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Gidagamowd iliyoko Hanang Manyara mwaka 2000 hadi 2006. Baadaye akajiunga na elimu ya sekondari Daniel Noul na kisha kuhitimu masomo ya usimamizi wa biashara ngazi ya diploma.