Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Savior Bartholomew Mbele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Savior Bartholomew Mbele ni Mtoto wa pili wa Mwl. Bartholomew Constantine Mbele na Mwl. Lucresia Thadei Ngonyani Mbele. Alizaliwa tarehe 31 Julai 1974 katika hospitali ya Namabengo Wilaya ya Namtumbo (wakati huo ni Songea Vijijini). Wakati huo wazazi wake walikuwa wakiishi katika Kijiji cha Mkongo Wilaya ya Namtumbo (wakati huo ni Songea Vijijini) wakiwa ni walimu wa shule ya msingi Mkongo Nakawale.

Savior Mbele amewahi kuishi katika vijiji vya Mkongo (Wilaya ya Namtumbo), Ngadinda ya zamani, Maposeni, Magagura na Liganga (Wilaya ya Songea Vijini), na Sinai (wilaya ya Songea Mjini). Makazi yake ya kudumu baada yamekuwa Tabata Dar es Salaam.