Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Samashaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukoo wa Fukwa: Fukwa ni mojawapo ya ukoo mashughuli sana unaopatikana katika vijiji cha Komfungo, kwamkono na mbuyuni wilayani Handeni. Ukoo wa Fukwa hauna watu wengi sana lakini ni ukoo wenye nidhamu pamoja na kujaaliwa kuwa na akili sana kuliko koo nyingine zinazozunguka maeneo hayo. Kiuchumi, ukoo wa Fukwa ni masikini. Shughuli zao kubwa ni kilimo yaani ufugaji na kilimo. Katika ukoo huu kuna mtu anaitwa Rashidi Abdillah Bakari Fukwa. Ni mwandishi wa vitabu vya Geography vinavyoitwa "Geography for form four Candidates". Vitabu hivi vimewasaidia wanafunzi wengi sana. Karibu sana handeni kwetu na kutana na ukoo wa Fukwa, upo mtaa wa Kwa Fukwa karibu na shule ya msingi Komfungo.