Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Sam B Czzle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sam B Czzle ni msanii wa mziki wa hiphop Tanzania kutoka pande za Arusha. Kwa jina kamilini Samwel Mbuya alizaliwa katika hospitali ya mount meru Arusha waka 1990. Nimeanza kufanya mziki tangu 2004 nikiwa na wanangu Makuhani Unique Empire Army in Arusha kaskazini. Tumesimamia harakati za hiphop / rap.