Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:SHEDRACK MKOTIA/ukurasa wa majaribio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The United Africa University of Tanzania (UAUT) ni chuo kikuu binafsi cha Kikristo kilichopo katika kata ya Vijibweni, Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kimeanzishwa na Misheni ya Kanisa la Korea na kiko jijini Dar es Salaam.[1]

  1. http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Recognised_Universities_Colleges_Centres.pdf