Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Revocatus philipo Gratian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Revocatus Philipo Gratian ni Mwalimu kwa taaluma, amezaliwa 25 August 1988. Amezaliwa kijijini Kikukuru, kata kikukuru, wilaya ya Kyerwa, mkoa wa Kagera,

ELIMU

Amesoma shule ya msngi kikukuru na kuhitimi 2004, akajiunga shule ya sekondari Mbira na kuhitimu 2008, kisha kumalizia masomo yake ya kidato cha Tani na sita 2011 shule ya sekondari Chato mkoani Geita. Amehitimu shahada ya ualimu katika sayansi Chuo kikuu cha Dodoma 2014. kwa sasa ni Mjasilimlia na mtaalamu wa maswala ya Stationeries na kutoa huduma mtandao.