Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Rama Raverg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ramadhan mwita anaejulikana kama Rama Raverg alizaliwa mnamo tarehe 8 June 2002 kaunti ya Migori katika kijiji cha Mabera Kuria magharibi.Wazazi wake ni Bwana Hassan Murimi na Bi Faridah Murimi.Alipata masomo yake katika shule ya msingi ya Mabera kuanzia mwaka wa 2011 hadi 2018 na mwaka wa 2019 kujiunga na shule ya upili ya Nyantama baada ya kukaa kwa mda wa wiki mbili shule hiyo ilifungwa na serikali na kuhamia shule iliyokua karibu iliyokua ikiitwa Kugisingisi.Baada ya kuwa huko kwa kipindi cha mwaka wa 2019 katika mwaka wa 2020 niliamua kujiunga na shule ya St.John's Got Kachola iliyopo katika kisiwa cha Muhuru bay ambapo kwa mwaka huo pia hakuweza kukamilisha masomo ya mwaka huo Bali paliondokea mlipuko wa Virusi vya Corona na Rais kuamurisha shule na viuo vyiote kufungwa