Mtumiaji:PuaniXUC/sandbox

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
PuaniXUC/sandbox
Limeanzishwa2017
Parent organisation
Bit Tech Limited

Meridian Bet Tanzania ni waendeshaji wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania. Kampuni hii imepewa leseni ya kuendesha michezo ya bahati nasibu ikiwa imejizatiti vilivyo katika kufanya biashara hii katika sekta zote ikiwemo kwenye maduka na mitandaoni.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Meridian Bet Tanzania ilianzishwa mwezi Juni mwaka 2017. Taasisi hii inamilikiwa na kampuni ya Bit Tech Limited yenye leseni ya kufanya kazi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa usajili wa namba 135726. Kwa sasa kampuni ya Meridian Bet Tanzania inaendesha biashara zake katika miji mingi nchini Tanzania.[2]

Imepewa leseni kwa ajili ya kuendesha biashara ya Kubashiri Michezo (madukani na mtandaoni), Kasino ya Mtandaoni na Sloti kutoka kwa Mamlaka ya Michezo ya Bahati Nasibu Tanzania. Imepewa leseni kwa ajili ya Kubashiri kwa Njia ya Ujumbe Mfupi na USSD kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).[3]

Mwaka 2016 Meridian Bet Tanzania ilishirikiana na Meridian Gaming kwa ajili ya usambazaji wa programu za kuhusiana na kubashiri michezo na kasino za mtandaoni kwenye mafuka yake na vile vile kwenye mitandao.[4]

Bidhaa na Huduma[hariri | hariri chanzo]

Meridian Bet Tanzania inafanya kazi katika maduka 100 ya kubetisha na vile vile katika tovuti yake ya mtandaoni. Lengo kuu la kampuni hii ni kujikita katika Kubashiri Michezo (kabla ya mechi kuanza na pale zinapokuwa zimeanza) na vile vile kutoa huduma zingine kama vile kasino na odds za mechi kadha wa kadha.[5]

Huduma kwa Jamii[hariri | hariri chanzo]

Kama kampuni tunaamini kwamba kushirikiana na kuwasaidia watu waliopo katika jamii zetu ni hakika kwamba inawanyanyua na tumekuwa tukifanya hivyo. Pia, tunawasaidia wafanyakazi weti kwa kuwapatia misaada ya kuboresha maisha yao na ya familia zao.[6]

Soma hapa pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Bonasi ya 5% Unapojiunga na Meridian Bet Tanzania", globalpublishers.co.tz. Retrieved on 21 July 2020. 
  2. "Kurasa ya Meridian Bet Tanzania kule LinkedIn", linkedin.com. Retrieved on 21 July 2020. 
  3. "Muongozo wa Kubashiri Afrika", africanbettingguide.com. Retrieved on 21 July 2020. 
  4. "Maoni ya Meridian Bet Tanzania", tccia.co.tz. Retrieved on 21 July 2020. 
  5. "Bonasi Kubwa ya TShs milioni 300 kutoka Meridian Bet Tanzania", soccerbet.co.tz. Retrieved on 21 July 2020. 
  6. "Tovuti ya Meridian Bet Tanzania", meridianbet.co.tz. Retrieved on 21 July 2020. 

Kiunga cha nje[hariri | hariri chanzo]