Mtumiaji:Paschal Kizito
Paschal Kizito ni mwanamuziki,producer na actor kutoka Tanzania alizaliwa mnamo tarehe 9 July 2000 katika mji mdogo (wilaya),ya igunga
ELIMU. Elimu ya awali amesoma katika wilaya ya igunga katika shule ya msingi jitegemee na kuhitimu darasa la saba hapo na kisha kujiunga na shule ya upili hapohapo wilayani igunga katika shule ya sekondari ya Hanihani secondary school lakini hakufanikiwa kumalizia elinu take ya upili ambapo mnamo march 2018 alikatisha masomo yake akiwa kidato cha tatu.
KAZI. paschal ni mwanamuziki pia anajihusisha na music production pia ni mwigizaji alianza kalia yake hiyo ya muziki akiwa na umri wa miaka 17 tu japo awali alikuwa akipenda sana kusoma nasomo ya IT (information technology) lakini ilishindikana.
MAFANIKIO. Katika mafanikio yake ya kimziki bado hajawa mtu maarufu sana lakini anamiliki studio ya (paxcq entertainment)