Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Osam Nms

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina Halisi: Andrew Cyprian Kororya

Majina ya Kisanii: Osam Nms

Tarehe ya Kuzaliwa: 16/07/1995

Mahali alipozaliwa: Tanzania

Nyanja: Muziki, Ujasiriamali

Taaluma: Mtayarishaji wa Muziki, Meneja wa Wasanii, Mfanyabiashara

Maisha ya Awali

Andrew Cyprian Kororya, anayejulikana kama Osam Nms, alizaliwa na kulelewa nchini Tanzania. Pia Amehitimu Elimu Ya Misingi Katika Shule ya Msingi Kigurunyembe Mwaka 2008.Na amehitimu kidato Cha Nne Katika Shule sekondari Kingalu Mjini Morogoro Mwaka 2012.

Kazi ya Muziki

Osam Nms ni mtayarishaji wa muziki na mkurugenzi mkuu wa Nms Nightmare Soundz, lebo ya muziki inayojihusisha na utayarishaji na usimamizi wa kazi za wasanii mbalimbali. Miongoni mwa wasanii anaowasimamia ni Baddest 47 (Linus Agrey Mwambuga), msanii maarufu wa Dancehall kutoka Tanzania anayejulikana kwa nyimbo kama Nikagongoe, Mauzauza, Ivo Ivo, Sir God, na Zagamua.

Kupitia Nms Nightmare Soundz, Osam Nms amesaidia kukuza vipaji vya wasanii mbalimbali na kuleta ushawishi mkubwa katika tasnia ya muziki wa Bongo Flava na Dancehall nchini Tanzania.

Ujasiriamali

Mbali na muziki, Osam Nms ni mfanyabiashara anayeendesha kampuni ya MONI PURE DRINKING WATER, inayojihusisha na usambazaji wa maji safi kwa wateja jijini Dar es Salaam.

Misaada na Kazi za Kijamii

Kupitia MONI PURE DRINKING WATER, Osam Nms Amekua na Utaratibu  wa kuelekeza sehemu ya faida kusaidia watu wenye uhitaji, wakiwemo walemavu, watoto yatima, na waathirika wa majanga.