Mtumiaji:NATHANAEL MPASI
NATHANAEL ATANAS MPASI ni kijana mwenye umri wa miaka 28 na alizaliwa tarehe 19 oktoba mwaka 1989,nchini Tanzania na nimtoto pekee toka kwa baba yake mzazi(marehemu)aliyejulikana kwa jina la ATANAS JORDAN MPASI ambaye alifariki dunia mwaka 1990,na mama yake FARIDA MICHAEL NGANGA ambaye yupo hai mpaka sasa. Nimwanasheria kitaaluma(astashahada) ambapo alipata taaluma hiyo katika chuo cha TEKU nchini Tanzania mwaka 2012-2014,nabaadae kujiunga na chuo kikuu cha muhimbili katika fani ya science ya maabara ya afya(astashahada,pia anasomea stashahada ya sheria katika chuo cha OUT TANZANIA,Mbali na hayo ni mwanasiasa chipukizi nchini Tanzania,mwanaharakati wa haki za binadamu,mtetezi wa wanyonge,mwanaharakati wa uhuru wa fikra na kujieleza.Mara kadhaa amekuwa ni kikwazo kwa mamlaka mbalimbali nchini Tanzania katika sekta mbalimbali ikiwepo elimu,afya kilimo na siasa.kwa sasa anaishi Dar es salaam Nchini Tanzania.