Mtumiaji:Mukhule
Mandhari
Lugha | ||||
---|---|---|---|---|
|
Kwa majina najulikana kama Michael Mukhule. Ninasoma katika Chuo Kikuu cha Nairobi. Niko katika mwaka wangu wa pili katika Kitivo cha Sayansi kwenye Idara ya Hali ya hewa. Madhumuni yangu kuu ya kujiunga na changamoto hili la Kiswahili Wikipedia Challenge ni kuchangia katika uboreshaji kwa lugha fasaha ya Kiswahili kote ulimwenguni. Nami ninaamini kutokana na kuchangia kwangu na hata kwa wale washiriki wengine, Kiswahili kitaweza kutukuzwa na hii itakuwa furaha yangu kuu.