Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Mringi pius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mringi Televisa

Alizaliwa mwaka 1994 Tarehe 11 mwezi wa kwanza katika wilaya ya Lushoto mkoani Tanga Tanzania katika familia ya watoto wawili akiwa ni Mtoto wa pili wa Janeth Peter Kinyasi alimaliza elimu ya msingi nakujiunga na elimu ya sekondary katika miaka ya 2008 high school ya st Maryz alipata Diploma na Degree ya ukutubi na uhifadhi Nyaraka katika chuo cha ukutubi Bagamoyo Pwani Tanzania Ana Mtoto mmoja wa kiume Ethan Mringi Televisa ni mwanachama wa chama cha Mapinduzi kada mahili pia amewahi kuigiza Filamu mbalimbali kama heri ya jana iliyochezwa mkoani pwani kwa sasa anajishuhulisha na shuhuli mbalimbali pamoja na harakati za hakielimu