Mtumiaji:Mattan Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majina kamili ;- Mike Simuchimba

Tarehe ya Kuzaliwa; 08.01.1996

Jina La kisanii; -Mattan,

Kazi; Mwanamuziki, Mwandishi wa Nyimbo, Aina Ya Muziki; Afro Pop RNB, Raggae , Hiphop kidogo, Inspiration(Walionivutia kuingia kwenye Game; Juma Jux,Ben Pol, Bele9, Barnaba, Alkaline, Chris Brown,chris martin na Masicka(Jamaica), Pia nimeishi Zambia.. Nampenda Mack 2 zambia, Pilato Zambia, Mampi n.k

Nyimbo Nilizo fanikiwa Kurekodi;- Kwa sasa nina Nyimbo Takribani 80 studio mbali mbali, nime achia Nyimbo Tatu..Niambieni, Ananipepeta, Changarawe Kabla ya Kuachia Chuchu, Nyimbo nilizo fanikiwa kuachia,,Zimefanikiwa kufanya Vizuri Kidogo Baadhi ya Mikoa,

Nyimbo Nilizofanikiwa Kuandika Bila ya Kurekodi; Nina Nyimbo takribani 90 kwenye madaftari hazijarekodiwa na nazidi Kuandika na kuandikia watu mbali mbali.

Nyimbo Nilizoachia hivi Karibuni..ni CHUCHU na FOREVER , Zote Nimezirekodi chini ya Studio za C9 records na C9 kanjenje,

Producers; Niliofanya Nao Kazi;- Dar;- C9, K zoo the Finest, Elephant(Sound Engineer kwenye studio mbalimbali)///Mkoani ;- (Mzuba, J willz, Ropa Beatz n.k

Lebel ya Muziki; Kwa sasa sijafanikiwa kusainiwa na Lebel yeyote ya Muziki, Ila nipo chini ya Ulezi wa C9 records, ambapo nilikutana na C9 kanjenje miaka mitatu iliyopita Mkoani Songwe Tunduma na Kuvutiwa na Ufanyaji kazi wangu, na ndipo akahaidi kunisaidia Kurekodi na Kunilea Kimuziki,

Safari yangu Kimuziki; Nimeanza Muziki mkoani Rukwa Sumbawanga Nikiwa shuleni, mwanzoni mwa miaka ya..2000 nikiwa shule ya Msingi, na mtu aliyeniinsipire kwa upana ni mama yangu Mzazi ambaye mpka sasa ni Muimba kwaya mzuri wa kanisani,

Nimeishi Tunduma ambako ndio Kama Nyumbani..Naweza Kujitambulisha kupitia Hapo, hapo ndipo nilikoweza Kukiendeleza kipaji changu kwa upana chini ya Studio Lebel ya Jubon Records ambayo kwa sasa ipo Dar es salaam, ndipo nilipo kutana na C9 kanjenje alikuja kufanya installation ya Studio na kukubali kipaji changu tukarekodi nyimbo kadhaa, akahaidi kunisaidia Baadae akaniita Dar es salaam na Kilicho bakia ni Historia.

Matamanio Yangu; - Nikua Msanii mwenye mafanikio, Kujituma, Heshima na Utii, Niweze Kupata Usimamizi Utakaofanya mimi na Career yangu Kufika mbali.

Social networks, FB:- natumia mattan_tz Instagram:- natumia mattanofficial_ Youtube:- Mattan Tanzania.