Mtumiaji:Masherano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mimi ni Antony Bett,miaka 20. mimi ni mkaazi wa Mombasa. Nimevutiwa na wikipedia swahili kwasababu mimi pia, kama wikipedia, nina lengo la kuona Kiswahili linazungumzwa na kueleweka kote duniani. Mimi hupenda kujadiliana (kiutu uzima) na kusoma riwaya tofauti.

KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)