Mtumiaji:Malcolm336329
Mandhari
Godfrey Beldon Mwambungu (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Malcolm; amezaliwa Mbeya, Tanzania, 01 November 1996) ni Mpiga picha wa Miradi mbalimbali na mtayarishaji wa video kutoka nchini Tanzania. Ni mmoja kati ya watu walioanzisha DxMedia.
| Malcolm | |
|---|---|
| Taarifa za awali | |
| Jina la kuzaliwa | Godfrey Beldon |
| Pia anajulikana kama | Malcolm |
| Amezaliwa | 01 November 1996 |
| Chimbuko | Mbeya, Tanzania |
| Aina ya pich | Photo journalism |
| Kazi yake | Photographer, Director, Editor, Advertising agency |
| Kazi | Camera, Microphone, Computer |
| Miaka ya kazi | 2016 - sasa |
| Studio | DxMedia |
| Ameshirikiana na | Studio Native, Ts media, Mashada Inc, Empower Youth Prosperity (EYP), Kusini Trade fair & Festival (KITF) |