Mtumiaji:Macdonald marcus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siku zote katika maisha unatakiwa uwe na ndoto na pindi unapokuwa na ndoto jaribu kutafuta njia ya kufanikisha hizo ndoto iwe kwa msaada wako binafsi au kwa kusaidiwa na wengine na kamwe usipende kujilinganisha na watu wengine kwan barabara waliyopitia wao na unayopitia wewe ni tofauti.