Mtumiaji:Lyaruu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Simon Lyaruu

Joseph Simon Lyaruu alizaliwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya Moshi vijijini kata ya Marangu kati kijiji cha Lyamombi mnamo Mwaka 1954.

Joseph ana mke mmoja jina lake Atanasia James Temu naye kama Joseph amezaliwa Mkoani Kilimanjaro wilaya ya Moshi vijijini kijiji cha kisangiro karibu na Maua Seminari au Shule ya sekondari Ifati.

Wamebarikiwa watoto watano ambapo watatu ni wakiume na wawili wa kike, Majina yao ni Clara, Innocent, Cecilia, Amani na Simon. Clara amezaliwa mwaka 1983, Innocent mwaka 1987, Cecilia mwaka1989, Amani mwaka 1991 na Simon 1995.