Mtumiaji:Kipoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

JINA Martin January Kipoma, KABILA NYIKA MAKAZI RUKWA MWAKA WA KUZALIWA 10/09/1990 ELIMU KIDATO CHA NNE amezaliwa waka 1990 tarehe 10/09. Alianza masomo ya shule ya msingi mwaka 2001 katika shule ya msingi chalantai, alipofika darasa la sita mwaka 2006 mwezi wa tatu, alihamishiwa shule ya msingi chala katika kijiji cha chala kilichopo mkoa wa Rukwa wilaya ya Nkasi! Mpaka alipohitimu mwaka 2007!!