Mtumiaji:Kipala/Astropics350

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ukurasa huu unaonyesha picha zote zinazopendekezwa kwa Kamusi ya Astronomia. Picha ziko hapa kwa upana wa 350px. Kwa mwonekano kubwa zaidi nenda hapa: Mtumiaji:Kipala/Astropics

  1. Jina la makala husika
  2. Maelezo ya picha jinsi yanavyoweza kuonekana chini ya picha
  3. chanzo ya picha & laiseni ya hatimiliki

(Vifupi ya maelezo kuhusu vyanzo na hatimiliki vinaweza kutajwa kw jumla)

Afeli
1. Sayari kwenye afeli yake 2. Sayari kwenye periheli yake 3. Jua (Pearson Scott Foresman © PD)
Angahewa
Tabaka za angahewa ya Dunia (Niko Lang © CC BY-SA 3.0 )
Apollo 11
Apollo-11: safari ya kwanza iliyofika mwezini mwaka 1969 (Neil A. Armstrong © PD-NASA)
Arinabu (kundinyota)
Kundinyota Arinabu (Lepus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Asteroidi
253 Mathilde ni asteroidi yenye vipimo vya km 66×48×46 (NASA © PD)
Bakari (kundinyota)
kundinyota Bakari (Bootes) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
Batiya (kundinyota)
Nyota za kundinyota Batiya (Crater) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Bikari (kundinyota)
Nyota za kundinyota Bikari (Circinus ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Ceres
Ceres (Sayari kibete) ilivyopigwa picha na kipimaanga "Dawn" (NASA © PD)
Chombo cha anga-nje
Feri ya anga-nje Atlantis pamoja na kituo cha anga-nje MIR (NASA © PD-NASA)
Dajaja (kundinyota)
Kundinyota Dajaja (Cygnus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dalufnin (kundinyota)
Kundinyota Dalufnin (Delphinus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Darubini 1
Darubinilenzi, Vienna (Prof. Franz Kerschbaum, Institut für Astronomie, Universität Wien © CC BY-SA 3.0 Unported)
Darubini 2
Darubini redio, Kitt Peak, Arizona, USA. (Jeff Mangum, NRAO © GNU 1.2)
Darubini (kundinyota)
Kundinyota Darubini (Telescopium) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dhibu (kundinyota)
Kundinyota Dhibu (Lupus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dira (kundinyota)
Kundinyota Dira (Pyxis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dubu Mdogo (kundinyota)
Nyota za kundinyota Dubu Mdogo (Ursa Minor) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg))
Dubu Mkubwa (kundinyota)
Kundinyota Dubu Mkubwa (Ursa Major) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dunia
Picha maarufu ya Sayari Dunia iliyopigwa Desemba 7, 1972 na kikosi cha wanaanga wa Apollo 17. (Apollo 17 © PD)
Ekliptiki
Obiti za sayari zote ziko kwenye bapa la ekliptiki, isipokuwa obiti ya Pluto imenama. (NikoLang © CC BY-SA 4.0 )
Farasi (kundinyota)
Kundinyota Farasi (Pegasus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Farisi (kundinyota)
Kundinyota Farisi (Perseus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Fungunyota
Fungunyota tufe ya Messier2 (NASA © PD)
Galaksi
Galaksi NGC 6814 inaonyesha umbo la parafujo (ESA/Hubble & NASA Acknowledgement: Judy Schmidt (Geckzilla) © PD)
Galaksi ya Andromeda
Galaksi ya Andromeda (NASA © PD)
Galileo Galilei
Galileo alivyoonyesha miezi ya Mshtarii kwa viongozi wa Venisi, Italia (Louis_Figuier © PD)
Ghurabu (kundinyota)
Kundinyota ya Ghurabu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Globu ya nyota
Globu ya nyota ya Kiajemi mnamo 1750 (CC-BY-SA 4.0 © Muhammadahmad79 )
Hadubini (kundinyota)
Kundinyota Hadubini (Microscopium) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Hawaa (kundinyota)
Kundinyota Hawaa (Ophiuchus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Hayya (kundinyota)
Ramani ya kundinyota Serpens au Hayya (CC BY-SA 3.0 © © 2003 Torsten Bronger)
Hudhi (kundinyota)
Kundinyota Hudhi (Auriga) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Hutu Junubi (kundinyota)
Kundinyota Hutu Junubi (Piscis Austrinus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Jabari (kundinyota)
Kundinyota Jabari (Orion) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Jitu jekundu
Nyota jitu jekundu Dabarani, ikilinganishwa na Jua (Mysid © PD)
Johannes Kepler
Taswira ya Kepler (1610) (mchoraji hajulikani) © PD)
Jua
Muundo wa Jua (HeNRyKus © PD)
Kaa (kundinyota)
Nyota za Kaa, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Kantarusi (kundinyota)
IAU Centaurus chart (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
Kasi ya Masakini (kundinyota)
Kundinyota Kasi ya Masakini (Corona Borealis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kasoko
Barringer Meteor Crater, Marekani (D. Roddy, U.S. Geological Survey © PD)
Ketusi (kundinyota)
Kundinyota Ketusi (Cetus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kifausi (kundinyota)
Kundinyota Kifausi (Cepheus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kilimia
Kilimia kinaonekana kama fungu la nyota angavu (Gonzalo Vicino © )
Kimondo
Vimondo vinavyong'aa angani; picha imechukuliwa kwa kufungua lenzi ya kamera kwa muda wa dakika kadhaa. Mistari mirefu ni njia za vimondo viliivyowaka katika kipindi hiki. (NASA © PD)
Kimondo cha Mbozi
Kimondo cha Mbozi (Gunnar Ries © CC BY-SA 2.0)
Kinyonga (kundinyota)
Kundinyota Kinyonga (Chamaeleon (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kituo cha Anga cha Kimataifa
Kituo cha Anga cha Kimataifa (NASA/Crew of STS-132 © PD-NASA)
Kizio astronomia
Umbali wa Dunia hadi Jua ni kizio kimoja cha astronomia (https://commons.wikimedia.org/wiki/File:Kizio_astronomia.png © CC BY-SA 4.0)
Kobe (kundinyota)
Kundinyota Kobe (Corona Australis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kondoo (kundinyota)
Nyota za Kondoo, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Nzi - Musca) (Sidney Hall 1825 © PD)
kundinyota 1
Nyota za Jabari (Günter Seggebäing, Coesfeld © )
kundinyota 2
Nyota za Jabari zikiunganishwa na mistari (JA Galán Baho © )
kundinyota 3
Picha ya Jabari baada ya kuunganisha nyota zake na kumwaza mtu (PD)
Kupatwa kwa Jua
Aina mbili za kivuli wakati wa Kupatwa kwa Jua (Fastfission © PD)
Kupatwa kwa Mwezi
Mwezi huonekana mwekundu wakati wa kupatwa (Oliver Stein © CC BY-SA 3.0)
Kuruki (kundinyota)
Kundinyota Kuruki (Grus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Madhabahu (kundinyota)
Nyota za kundinyota Madhabahu (Ara) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mae Jemison
Mae Jamison, Mwamerika Mweusi alirushwa angani 1992 (NASA © PD-NASA)
Mapacha
Nyota za Mapacha, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mara (kundinyota)
Kundinyota ya Mara (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mark Shuttleworth
Mark Shuttleworth kutoka Afrika Kusini kwenye ISS mwaka 2002 (NASA © PD-NASA)
Mashuke (kundinyota)
Nyota za Mashuke, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mawingu ya Magellan
Mawingu ya Magellan (kushoto chini), pamoja na Njia Nyeupe (P. Horálek/ESO © )
Mbuzi (kundinyota)
Nyota za Mbuzi, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mbwa Mdogo (kundinyota)
Kundinyota Mbwa Mdogo (Canis Minor) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mbwa Mkubwa (kundinyota)
Kundinyota Mbwa Mkubwa (Canis Major) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mbwa wawindaji (kundinyota)
Kundinyota Simba Mdogo na Mbwa Wavindaji ( Leo Minor / Canes Venatici) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mbweha (kundinyota)
Kundinyota Mbweha (Vulpecula) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mchoraji (kundinyota)
Kundinyota Mchoraji (Pictor) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Meza (kundinyota)
Kundinyota ya Mesa (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mhindi (kundinyota)
Kundinyota Mhindi (Indus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mirihi
picha ya Mirihi kama ilivyochukuliwa na darubini ya anga-nje Hubble (NASA and The Hubble Heritage Team (STScI/AURA) PD © PD)
Mirihi uso
Uso wa Mirihi ni jangwa (Van der Hoorn, NASA © PD)
Mizani (kundinyota)
Nyota za Mizani, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mjusi (kundinyota)
Kundinyota Mjusi (Lacerta) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mke wa Kurusi (kundinyota)
Nyota za kundinyota Mke wa Kurusi (Cassiopeia) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
Mkuku (kundinyota)
Kundinyota Mkuku (Carina) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mlipuko Mkuu
Upanuzi wa ulimwengu tangu mlipuko mkuu (Gnixon © PD)
Mng'aro wa Jua
Uhusiano baina joto kwenye uso wa nyota na mng'aro wake (European Southern Observatory (ESO) © CC BY-SA 4.0 )
Mshale (kundinyota)
Nyota za Mshale, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Darubini na Hadubini) (Sidney Hall 1825 © PD)
Mshtarii
picha ya mshtarii kama ilivyopigwa na chombo cassin (NASA/JPL/Space Science Institute PD © PD)
Mshtarii
Mshatarii na moja ya miezi yake (NASA/JPL PD © PD)
Munukero (kundinyota)
Kundinyota Munukeru (Monoceros) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mwanaanga
Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha space shuttle tar. 12 Juni 2006 (NASA, Astronaut Michael Edward Fossum © PD-NASA)
Mwanafarasi (kundinyota)
Nyota za kundinyota Mwanafarasi (Equuleus ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mwezi
Uso wa Mwezi unajaa kasoko (阿爾特斯 , © CC BY-SA 3.0)
Mwezi mwandamo
Awamu za mwezi kuanzia mwezi mwandamo (1) kupitia hilali (2), robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, mwezi mpevu (5) hadi mwezi mwandamo tena (Pamplelune © CC BY-SA 3.0)
Nahari (kundinyota)
Kundinyota Nahari (Eridanus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Najari (kundinyota)
Nyota za kundinyota Najari (Sculptor) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
NASA
Nembo ya NASA (NASA © PD-NASA)
Ndege wa Peponi (kundinyota)
Kundinyota ya Ndege wa Pepeoni (Apus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Ndoo
( © )
Neil Armstrong
Neil Armstrong, mtu wa kwanza Mwezini (NASA / Edwin E. Aldrin, Jr. © PD-NASA)
Neptuni
Sayari Neptuni (Neptune) inavyoonekana na Voyager 2 (Kevin Gill from Los Angeles, CA, United States [CC BY-SA 2.0 (https://creativecommons.org/licenses/by-sa/2.0)] © CC BY-SA 2.0)
Ngao (kundinyota)
Kundinyota Ngao (Scutum) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nge (kundinyota)
Nyota za Nge, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Ng'ombe (kundinyota)
(Picha ya Ngombe kwenye kitabu cha Abd al-Rahman al-Sufi (903–986) © CC BY-SA 2.0 Generic)
Njia Nyeupe
Njia Nyeupe inaonekana vema pasipo na mianga duniani juu ya paoneanga ya ESO, Chile (ESO/S. Brunier © CC BY-SA 4.0 )
Njiwa (kundinyota)
Nyota za kundinyota Njiwa (Columba) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nukta msawazo
Nukta msawazo 1-5 (EnEdC © CC BY-SA 3.0)
Nyavu (kundinyota)
Kundinyota Nyavu (Reticulum) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nyoka Maji (kundinyota)
Nyota za kundinyota Nyoka Maji (Hydrus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nyota nova
Mabaki ya wingu linaloendelea kupanuka tangu nyota GK Persei Farisi ilitazamiwa kuwaka kama nova mwaka 1902; picha ilipatikana kwa kuunganisha picha zilizopigwa katika upeo wa eksirei (buluu), nuru (njano) na wimbiredio (nyekundu); (X-ray: NASA/CXC/RIKEN/D.Takei et al; Optical: NASA/STScI; Radio: NRAO/VLA © PD)
Nyotamkia
Njia ya nyotamkia ikizunguka jua. Mkia huelekea mbali na jua kila wakati. (NASA © PD)
Nyotamkia ya Halley
Nyotamkia ya Halley mnamo 8 Machi 1986 kwa darubini (safari iliyopita ilipofikia periheli na kuwa karibu na Dunia). (NASA/W. Liller © PD)
Nywele za Berenike (kundinyota)
Kundinyota Nywele za Berenike (Coma Berenices) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nzi (kundinyota)
Kundinyota Nzi (Musca) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Obiti
"Obiti ya gimba dogo (kama satelaiti au mwezi) linalozunguka gimba kubwa (kama sayari); ( © CC BY-SA 4.0 )
Obiti, Mzinga wa Newton
Mfano wa "Mzinga wa Newton": kani ya velositi ""v"" inataka kulipeleka mbele mbali na mahali pake; kani ya graviti ""a"" inalivuta kuelekea gimba kubwa; tokeo lake ni obiti ya kuzunguka." (Brian Brondel © CC BY-SA 3.0)
Pampu (kundinyota)
Kundinyota ya Pampu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Paoneaanga
Paoneanga pa La Silla, Chile; kila jengo huwa na darubini kubwa (Hernan Fernandez Retamal, © )
Panji (kundinyota)
Kundinyota Panji (Dorado) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Panzimaji (kundinyota)
Kundinyota Panzimaji (Volans) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Paoneaanga
Paoneanga huwa mara nyini na kuba juu ya darubini (Manuelrealiza © CC BY-SA 4.0)
Paralaksi
Mfano wa paralaksi: kutegemeana na mahali pa mtazamaji kiolwa kinachotazamiwa kitaonekana mbele ya sehemu ya buluu au ya nyekundu ya mandharinyuma yake (JustinWick © CC BY-SA 4.0 )
Patasi (kundinyota)
Kundinyota Patasi (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Pembemraba (kundinyota)
Kundinyota Kipimapembe (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Pembetatu (kundinyota)
Kundinyota Pembetatu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Pembetatu ya Kusini (kundinyota)
Kundinyota Kipimapembe (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Rakisi (kundinyota)
Kiswahili: Kundinyota Rakisi (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Roketi
Roketi za Kirusi aina ya Soyuz-U, huko Baikonur, Kazakistani. (NASA © PD-NASA)
Roskosmos
Nembo (RKA © PD)
Saa (kundinyota)
Nyota za kundinyota Saa (Horologium ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Sagita (kundinyota)
Nyota za kundinyota Sagita (Sagitta) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Salibu
Salibu (Crux, Southern Cross) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Samaki (kundinyota)
Nyota za Samaki, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Sayari
Sayari za mfumo wa Jua; ukubwa unaonyesha uwiano halisi kati ya sayari lakini umbali kati ya sayari hauonyeshwi. (Horst Frank © CC BY-SA 3.0)
Shaliaki (kundinyota)
Nyota za Shaliaki (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Shetri
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Shimo jeusi
Picha ya shimo jeusi kwenye kitovu cha Messier 87 (picha iliyounganishwa kutoka vipimo vingi) (Event Horizon Telescope © CC BY-SA 4.0)
Shuja (kundinyota)
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Simba (kundinyota)
Nyota za Simba, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Simba Mdogo) (Sidney Hall 1825 © PD)
Simba Mdogo (kundinyota)
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Spektra
Spektra ya mawimbi sumakuumeme; nuru tunaoona ni sehemu ya mawimbi haya (Kipala © CC BY-SA 4.0 )
Spektra 2
Mistari ya ufyonzaji zinaonyesha elementi zilizopo kwenye chanzo cha nuru (Stkl © PD)
Sputnik 1
Sputnik: chombo cha kwanza kilichozunguka Dunia kwenye anga-nje (NASA © PD-NASA)
Sudusi (kundinyota)
(CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tanga (kundinyota)
Kundinyota ya Tanga (Vela) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tanuri (kundinyota)
Kundinyota Tanuri (Fornax) (CC BY-SA 4.1 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tausi
Kundinyota ya Tausi (CC BY-SA 4.2 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Thumni (kundinyota)
Kundinyota ya Tumni (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tinini (kundinyota)
Kundinyota ya Tinini (Draco) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tukani (kundinyota)
Kundinyota Tukani (Tucana) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tunguska
Uharibifu pale Tunguska miaka 19 baada ya pigo la asteroidi (CYD © PD)
Twiga
Kundinyota Twiga (Camelopardalis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Ugasumaku
Ugasumaku wa Dunia ni kinga dhidi ya mnururisho mkali kutoka Jua (NASA © PD-NASA)
Ukabu (kundinyota)
: Kundinyota ya Ukabu (Aquila) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Ukanda wa asteroidi
Ukanda wa asteroidi baina ya obiti za Mirihi na Mshtarii (Mdf © PD)
Ukanda wa Kuiper
Ugawaji wa magimba ya ukanda wa Kuiper (nukta kijani) *Nyekundu = Jua *Buluu-kijani = Sayari jitu za gesi *Kijani = Ukanda wa Kuiper *Kichungwa = magimba mbalimbali yaliyotawanyika *Dhambarau = Watroia wa Mshtarii *Njano = Watroia wa Neptuni Namba zinadokeza umbali kwa AU ( © )
Unajimu
Zodiaki ya Kiarabu (Max Planck Digital Library © PD)
Uranus
Sayari Uranus inavyoonekana na Voyager 2 (Kevin Gill from Los Angeles, CA, United States [CC BY-SA 2.0 (https://creativecommons.org/licenses/by-sa/2.0)] © CC BY-SA 2.0)
Usafiri wa anga-nje
Mwanaanga kazini pasipo na graviti kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (NASA © PD-NASA)
Utaridi
Sayari Utaridi (Mercury) (NASA/Johns Hopkins University Applied Physics Laboratory/Carnegie Institution of Washington PD © PD)
Valentina Tereshkova
Meja Valentina Tereshkova kutoka Urusi alikuwa mwanaanga wa kwanza wa kike (RIA Novosti archive, image #612748 / Alexander Mokletsov / © CC-BY-SA 3.0)
Venera
Venera 7: kifaa cha kwanza kilichotua kwenye uso wa sayari nyingine (Stanislav Kozlovskiy © CC BY-SA 4.0)
Vostok
vostok 1: chombo cha kwanza kilichompeleka mtu kwenye anga-nje (stempu ya Azerbaijan) (Kh. Mirzoyev./Azermarka © PD Azerbaijan)
Voyager 1
Voyager 1, chomboanga cha kwanza kilichotoka nje ya Mfumo wa Jua (NASA © PD-NASA)
Washaki (kundinyota)
: Kundinyota Washaki (Lynx) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Yuri Gagarin
Yuri Gagarin, mtu wa kwanza kwenye anga-nje (RIA Novosti © CC BY-SA 3.0 )
Zohali
Zohali na pete zake, zilivyoonekana kwa kamera ya Voyager 2 (Voyager 2 PD © PD)
Zoraki (kundinyota)
Kundinyota Zoraki (Phoenix) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Zuhura
Picha ya rada inaonyesha uso wa Zuhura (NASA © PD)
Zuhura
Mwonekano wa kawaida wa Zuhura; mawingu hufunika uso wake (NASA © PD)