Mtumiaji:Kelvin onesmo/ukurasa wa majaribio
Mandhari
Ernest Jumbe Mangu ni mwanadiplomasia na Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi la Tanzania. Kabla ya kuteuliwa katika wadhifa huo, Mangu alihudumu kama Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi. Pia, aliwahi kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Kigali, Rwanda.[1]