Mtumiaji:Judywawira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuhusu Mimi[hariri | hariri chanzo]

Picha:Judymimi.jpg

Mimi ni Judy Wawira kutoka mkoa wa kati nchini Kenya. Kuhusu kazi yangu, mimi ni daktari wa watu. Niko na ustadi kuhusu hesabu na komputa. Matarajio ya siku zikujazo ni kujitegemea kimaisha na kusaidia sehemu ya afya kutumia komputa na technologia za kisasa
kusaidia mipango ya afya na wagonjwa.

Kwa wakati wangu wa ziada, napendelea kupiga picha na kutembea sehemu tofauti za Kenya na dunia.


KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)