Mtumiaji:JOHNSON FESTO

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

kwa jina naitwa johnson festo ni mwanafunzi wa kidato cha tano pia mimi ni mmoja wa kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 20 ni mkazi wa morogoro mjini napenda sana kukuza lugha yangu ya kiswahili kitaifa na kimataifa kwa ujumla pia ni mmoja wa kampeni ya kukuza kwa maendeleo ya lugha kidunia....