Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:JAMES KERARIO LAURENT

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Habari!

Naitwa JAMES KERARIO LAURENT, Mtanzania. Naishi Tanzania, na ninazungumza na kuandika kwa lugha ya Kiswahili na ya Kiingereza kwa ufasaha.

Fani zangu ni Utetezi wa Haki za Binadamu, Habari na Mawasiliano. Ninafwatilia na ninapenda mchezo wa Mpira wa Miguu, hususani katika ligi za Ulaya; LaLiga, EPL na UEFA Champions League. Mimi ni shabiki wa Klabu ya mpira ya Real Madrid!

Ninapenda kujifunza vitu vipya kila siku. Hivyo ninayofuraha kuwa Mwanawikipedia, kwani ni fursa nzuri kwangu kujifunza.