Mtumiaji:Izack jusng
Mandhari
Izack jusng ni mzaliwa wa Tanzania 22/12/1992 mkoani njombe wilaya ya makete, kabila lake ni mkinga.
alianzia elimu yake ya msingi jijini mbeya katika shule ya Iyela na kujiunga na sekondali ya hayombo
kazi yake kuu ni msanii wa kuigiza ambayo alianza akiwa dalasa la nne pia ni mwandishi wa story na ni director na nimuuzaji wa story anazo ziandika