Mtumiaji:Issaka Samsoni Messi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Issaka Samsoni Messi
Maelezo binafsi
Jina kamili Issaka Samsoni
Tarehe ya kuzaliwa 4 Agosti 2002 (2002-08-04) (umri 21)
Mahala pa kuzaliwa    Mbalizi,Mbeya, Tanzania
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Black Leopard Football Club Under20
Namba 25

* Magoli alioshinda


Issaka Samsoni amezaliwa tar(4 Agosti 2002) mjini Mbeya,Mbalizi ni mchezaji wa kandanda kutoka Tanzania akiichezea klabu ya vijana ya Black Leopard Football Club Under20 akicheza nafasi ya Winga Mshambuliaji.

Timu Alizowahi Chezea[hariri | hariri chanzo]