Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Hudhaifa dabasi khalfan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ningependa kuchangia mawazo na Jamii, kuhusiana na Umuhimu wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania, Uboreshaji, muundo, Jinsi gani watu wanapata hamasi ya kuchangia serikali za mitaa katika maendeleo; uboreshaji wa uchumi, pia serikali jinsi gani inatoa fursa juu ya kuwashirikisha wananchi katika mambo ya maendeleo na kuwa na nguvu ya kuihoji serikali za mitaa kama mwakilishi wa serikali Kuu.