Mtumiaji:Elizabeth Samwel
Mandhari
| Maelezo ya Babeli ya mtumiaji | ||
|---|---|---|
| ||
| Watumiaji lugha kwa lugha |

Habari! Naitwa Elizabeth Samwel ni mwanawikipedia kutoka Tanzania mwenye uzoefu katika kuhariri na kuchangia katika miradi ya Wikimedia Foundation kama Wikipedia ya Kiingereza na ya Kiswahili, Wikamusi, Wikidata na Wikimedia Commons.
Mimi ni mshiriki wa programu ya Wiki Afrodemics Mentorship Program. Unaweza kusoma makala yangu kwenye jukwaa la diff ikielezea jinsi programu hii ilivyokuza ujuzi wangu katika masuala ya Wikipedia (How Wiki Afrodemics Mentorship Program improved my Wikipedia Skills)

