Mtumiaji:Elim Ahmad/ukurasa wa majaribio
Mandhari
Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs)
[hariri | hariri chanzo]Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ni mpango wa Umoja wa Mataifa uliowekwa mwaka 2015 ili kushughulikia changamoto kubwa duniani. Lengo la 13 la Maendeleo Endelevu (SDG 13) ni kuchukua hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na athari zake. Lengo hili ni mojawapo ya malengo 17 yaliyoanzishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa[1].
[hariri | hariri chanzo]Kauli mbiu rasmi ya SDG 13 ni: "Kuchukua hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na athari zake[2]."
[hariri | hariri chanzo]Lengo hili lina uhusiano wa karibu sana na SDG 7, ambalo linahusu nishati safi na nafuu malengo haya mawili yanakamilishana[3].
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "File:A RES 71 313 E.pdf - Wikipedia" (PDF). commons.wikimedia.org (kwa Kiingereza). 2017-07-10. Iliwekwa mnamo 2025-09-27.
- ↑ Team, Our World in Data (2023-07-18). "Take urgent action to combat climate change and its impacts". Our World in Data (kwa Kiingereza).
- ↑ "Sustainable Development Goal 13", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2025-08-28, iliwekwa mnamo 2025-09-27