Mtumiaji:Elias Shiguta
Historia ya Elias Shiguta Kasongi
[hariri | hariri chanzo]Elias Shiguta Kasongi alizaliwa Tarehe 18/12/1989 katika kijiji cha Buzanaki Bukoli Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita Mashariki mwa Nchi ya Tanzania ukanda wa Ziwa Victoria.
Elias Shiguta Kasongi ni mtoto wa Kwanza kati ya watoto 10 katika familia ya Mzee "Shiguta Kasongi Shiguta".
Katika familia walizaliwa Wanaume 3 na wanawake 7.
Mama yake Mzazi anaitwa "Joyce William Timoth".
Orodha ya watoto katika familia ya Mzee Shiguta:
- Elias Shiguta
- Siwema Shiguta
- Daktari: Fikiri Shiguta
- Kulwa Shiguta
- Mwalimu: Doto Shiguta
- Odilia Shiguta
- Elizabeth Shiguta
- Shukuru Shiguta
- Doto Shiguta
- Kulwa Shiguta
Dini:
Elias Shiguta ni muumini wa dini ya Kikristo,ameamini na kubatizwa katika Kanisa la "Africa Inland Church Tanzania" A.I.C.T na Mch: Frednand Bundala wa Pastorate ya A.I.C.T IMANI KATORO GEITA.
Elimu:
"Elias Shiguta Kasongi" alisoma na kuhitimu Elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi Ibondo Kata ya Ludete Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro (W) Ya Geita na Mkoa wa Geita (1999 - 2005).
Alisoma pia S/Msingi Lyambamgongo iliyoko Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita na badae alichaguliwa kujiunga na masomo ya Secondary na kuhitimu katika Shule ya sekondari Bukombe (2007 - 2010).
Masomo ya Chuo:
Alichaguliwa kujiunga na Chuo cha Uhasibu - Tanzania Institute of Accountancy (T.I.A) Campus ya Singida katika Kozi ya "Basic Technician in Procurement and Logistic Management" na kuhitimu Mwaka 2012.