Mtumiaji:EDGAR MASHEYO

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naitwa Edgar Florence Masheyo.Nilizaliwa mwaka 2001,mwezi wa tatu, tarehe 13 katika hospitali ya wilaya ya malinyi.Nina umri wa miaka 16 .nasoma kidato cha pili katika shule ya sekondari Alfagems.Nilimaliza elimu ya msingi katika shule Nawigo mwaka 2015, iliyopo katika wilaya ya malinyi ,mkoanI Morogoro