Mtumiaji:Denis mariki
Mandhari
Denis mariki ni kijana alive zaliwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya moshi vijijini tarafa ya marangu kata ya mwika alizaliwa marangu hospital mwaka 1993 kijana denis ni mtu asiye penda kujulikana na watu wala kuzoeleka na watu asio waamini kutokana na sughuli zake kijana huyu ni mzuri na nimbaya pale unapo mkorofisha anamaamuzi magumu sana kiufupi ni mtu asiye elewka mambo yake ni msiri sana huwa apendi mtu ajuwe siri zake na sio kila anacho kifanya ni mjinga huwa anfanya kitu kwasababu maalumu